Psalms 118:12

12 aWalinizunguka kama kundi la nyuki,
lakini walikufa haraka kama miiba iteketeayo;
kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali.
Copyright information for SwhNEN